
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Ali Hassan Mwinyi, leo tarehe 02-06-2021 amefika Msasani nyumbani kwa baba wa taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na kumkabidhi mjane wa baba wa taifa, Mama Maria Nyerere Kitabu cha simulizi ya maisha ya Mzee Mwinyi, “Mzee Ruksa safari ya Maisha yangu”
