Basata Wampongeza Diamond Kuwania Tuzo Ya BET 2021
Global Publishers June 3, 2021 0 Comments
SHARE THIS:
Baraza la Taifa la Sanaa (BASATA) wametoa pongezi kwa msanii Staa wa Bongo Fleva, Nassibu Abdul, maarufu Diamond Platnumz kwa Kufanikiwa kutajwa kuwania Tuzo ya BET za Mwaka 2021 katika Kipengele cha Msanii anayefanya vizuri Kimataifa.