×

Mbunge Aanika Sababu za Wanaume Kukosa Nguvu za Kiume – Video


Mbunge Viti Maalum anayewakilisha Vyuo Vikuu, Dkt. Tea Ntala Amesema Tatizo la ukosefu wa lishe Bora kwa wanaume kukosa limekuwa likisababisha kwa kiasi kikubwa ukosefu wa nguvu za kiume na kuwataka wanaume kubadilisha mtindo wa ulaji wa chakula kwa kula chakula bora.

Leave a Comment