×

Rais Samia Apokea Mapendekezo Ya Kamati ya COVID-19 

 

Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 4, 2021 amekutana na kupokea mapendekezo kutoka kwa Kamati ya COVID-19  Ikulu, Chamwino – Jijini Dodoma.

 

Mapendekezo hayo yamewasilishwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Prof. Said Aboud aliyeongozana na Wajumbe wa kamati.

Leave a Comment