Kipindi cha Mtaa kwa Mtaa hii leo kimefanyika Tandale kwa Mtogole Jijini Dar es salaam ambapo Wananchi wamefunguka juu ya mabadiliko makubwa yaliyofanywa na Serikali katika maeneo hayo ikiwa ni pamoja na uboreshwaji wa miundombinu hali inayopelekea kurahisisha shughuli za Kichumi huku wakiiomba Serikari iwasaidie Viwanja vya Michezo.
UKIWA NA KERO AU CHANGAMOTO MTAANI KWAKO TUTAFUTE KUPITIA 0714207395 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx