×

Video: Global Habari Juni 06 – Muhubiri Tb Joshua Afariki Dunia Nigeria


Muhubiri maarufu Nchini Nigeria Tb Joshua (57) amefariki dunia alfajiri ya kuamkia hii leo June 6,2021 mara baada ya kutoa huduma ya kiroho kupitia Runinga ya Emmanuel siku ya Jumamosi. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment