×

Video: Nandy Apiga Shoo ya Kibabe Kigoma

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga, maarufu kwa jina la Nandy usiku wa kuamkia leo Juni 5, 2021, amepiga shoo ya kibabe (live Perfomance) kwente Tamasha lake la Nandy Festival iliyofanyika Uwanja wa Mwanga Community Center Kigoma.

Katika Tamasha lake hilo Nandy, amesindikizwa na wanamuziki wengine akiwemo mfalme Alikiba, Mabantu, Marioo na wengine. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment