Mkali Wenu Arudi na Ishu ya Mtoto wa Wolper- Video
Global Publishers June 7, 2021 4,660 views 0 Comments
SHARE THIS:
Mkali wa Sanaa ya vichekesho, Mkali wenu amefunguka ishu ya mtoto wa msanii kutoka kiwanda cha Bongo Movie Jackline Wolper na kusema huenda ni wa kwake.