×

Tanzia: Mmiliki Wa Songoro Merine Afariki Dunia

Mmiliki wa Kampuni ya Songoro Marine Ilemela ya jijini Mwanza, Saleh Songoro, amefariki dunia jioni ya Juni 6, 2021 jijini Mbeya.

Songoro alikuwa ni mtengenezaji mkubwa wa meli katika ziwa Nyasa, aliomba wiki mbili kufanya ukarabati wa meli ya Mv Mbeya ll

Mwili wa Songoro umehifadhiwa katika Hospitali ya Kanda ya Mkoa wa Mbeya.

Leave a Comment