×

Exclusive: Nandy Ajibu Kuachana Na Billnass -Video


MASKINI NANDY Sexy lady kunako Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ anaonekana kutia huruma huku akiwataka mashabiki wake kuamini kwamba mambo yamebadilika juu ya uhusiano wake na Staa wa Bongo Fleva, William Lyimo ‘Billnass’ (Nenga).

Nandy alitoa kauli hiyo wakati kukiwa na madai kwamba ni rasmi sasa ameachana na Nenga ambaye ameshasepa zake, lakini yeye anamuombea.

 

 

Leave a Comment