Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga. Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma, leo 21-Juni-2021