×

Video: Chama Arejea Simba, Wazee Wa Yanga Waunga Mkono Mabadiliko

Kiungo wa klabu ya Simba, Clatous Chama amerejea baada ya kukaa nje ya Uwanja kwa wiki tatu, kufuatia kufiwa na mkewe, Mercy Manuka, kilichotikea Kitwe nchini Zambia

Leave a Comment