Watumishi waumma 70,437 wamepandishwa madaraja na watapata mshahara wa mwezi huu kulingana na madaraja waliyopandishwa, huku zikitengwa bilioni 300kuhakikisha kila anayepandishwa daraja analipwa stahiki zake. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx