×

Rais Samia Aondoka Nchini Msumbiji – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji mara baada ya kushiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC uliofanyika leo tarehe 23 Juni, 2021 katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Joaquim Chissano Maputo nchini Msumbiji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 23, 2021 amendoka nchini Msumbiji mara baada ya kushiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC uliofanyika leo tarehe 23 Juni, 2021 katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Joaquim Chissano Maputo nchini Msumbiji.

Leave a Comment