
| POST | FUNDI SANIFU MSAIDIZI DARAJA LA II (MAABARA) – 7 POST |
| POST CATEGORY(S) | WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES |
| EMPLOYER | Ministry of Water and Irrigation |
| APPLICATION TIMELINE: | 2021-06-17 2021-07-01 |
| JOB SUMMARY | NA |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Kufanya usafi wa kawaida wa vifaa vya maabara yaani ‘Glassware’ kwa kufuata taratibu za kimaabara;
ii.Kuchukua sampuli za majisafi na majitaka; iii.Kuandaa vifaa kwa ajili ya uchunguzi wa kiumbo, kikemikali na kibaiolojia (physical, chemical and bacteriological); iv.Kufanya uchunguzi vipimo vyepesi (elementary/simple parameters) vya majisafi na majitaka.
|
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita (vi) waliofuzu mafunzo ya miaka miwili (Technician Certificate) ya ufundi sanifu wa Maabara ya maji kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. |
| REMUNERATION | TGS A |