
| POST | FUNDI SANIFU DARAJA LA II (HYDROJIOLOJIA) – 4 POST |
| POST CATEGORY(S) | WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES |
| EMPLOYER | Ministry of Water and Irrigation |
| APPLICATION TIMELINE: | 2021-06-17 2021-07-01 |
| JOB SUMMARY | NA |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuhakiki uwezo wa kisima kutoa maji (Pump test); ii. Kuchora ramani za awali za kiufundi; na iii. Kuhifadhi taarifa za kikazi (Field Data) zipatikanazo wakati wa utafiti wa maji chini ya ardhi. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa Wahitimu wa vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali ambao wana cheti cha ufundi (FTC HYDROGEOLOGY) |
| REMUNERATION | TGS C |