×

Tangazo la kuitwa Kazini Walimu na Kada ya Afya

Ofisi ya Rais TAMISEMI,inapenda kuwatangazia Umma kuwa,imekamilisha mchakato wa kuchambua maombi ya ajira ya Elimu na Afya iliyotangazwa tarehe 09/05/2021

Kuona Orodha ya Walimu  Bofya hapa   WALIMU

Kuona Orodha ya Kada ya Afya Bofya hapa   ORODHA YA WATUMISHI WA AJIRA MPYA KADA YA AFYA

Leave a Comment