×

Rais Samia Afungua Kikao cha NEC Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 29, 2021 amefungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi NEC, kilichokutana katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM,Rais Samia Suluhu Hassan, akifungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi NEC, kilichokutana leo Juni 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Jijini Dodoma.

Leave a Comment