×

Fahamu Meli 5 Kubwa, Kifahari Duniani

UNAPOAMBIWA kuwa orodha hii ya meli inawakilisha zile kubwa zaidi duniani usianze kuwazia vitu vya kitoto.

Hizi ni meli kubwa ambazo ukubwa wake haulinganishwi na meli ya Titanic ambayo ilizama miaka kadhaa iliyopita na kuacha historia kuwa ilikuwa meli kubwa zaidi duniani.

Meli tunazokwenda kuziorodhesha siyo tu kubwa bali ni za kifahari ambazo zimekusanya vitu karibu vyote vya starehe kama kumbi za muziki, viwanja vya michezo mbalimbali, bustani, hoteli na kila aina ya “bata”.

1-SYMPHONY OF THE SEAS STATS

HUDUMA: MACHI 2018

UREFU: Futi 1,188

ABIRIA: 5,518

WAFANYAKAZI: 2,100

2- HARMONY OF THE SEAS STATS

HUDUMA: MEI 2016.

UREFU: Futi 155.6

ABIRIA: 5,480.

WAFANYAKAZI: 2,100.

3- ALLURE OF THE SEAS STATS

HUDUMA: OKTOBA 2010.

UREFU: Futi 1,187.

ABIRIA: 5,400.

WAFANYAKAZI: 2,384.

4- OASIS OF THE SEAS STATS

HUDUMA: DESEMBA 2009.

UREFU: Futi 1,186.5

ABIRIA: 5,400.

WAFANYAKAZI: 2,394.

 

5- MSC MERAVIGLIA

HUDUMA: JUNI 2017.

UREFU: FUTI 1,036

ABIRIA: 4,500

WAFANYAKAZI: 1,536

Leave a Comment