Mrithi wa Metacha Yanga Huyu Hapa Global Publishers July 7, 2021 0 Comments SHARE THIS: Klabu ya Yanga imefanya mazungumzo na golikipa wa Klabu ya FC San Pedro ya nchini Ivory Coast, Tape Eliezer Ira, ili kuja kuwapa changamoto magolikipa wa klabu hiyo Metacha Mnata na Farouck Shikalo. SHARE THIS: