MWILI wa mganga wa jadi, Anthony Lumuliko Mwinami almaarufu Dokta Mwandulami, mkazi wa Kijiji cha Wangama, Kata ya Mtwango mkoani Njombe, umezikwa leo Julai 09, huko nyumbani kwake ambapo alijijengea kaburi lake la Bilioni moja akiwa bado hai. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx