×

Mbowe: Corona Imemuua Kaka Yangu – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe, amefiwa na kaka yake ajulikanaye kwa jina la Charles Mbowe.

 

Hii ni taarifa rasmi ya familia ya Mbowe kuhusu msiba huo.

Leave a Comment