Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, alipowasili Ikulu Ntare House Jijini Bujumbura Burundi kwa ajili ya kuanza ziara ya Kitaifa Nchini humo leo Julai 16,2021.Rais Samia na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Burundi, Evariste Ndayishimiye wakipokea Gwaride la Jeshi la Jamhuri ya Burundi alipowasili Ikulu Ntare House Jijini Bujumbura Burundi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride la Jeshi la Jamhuri ya Burundi alipowasili Ikulu Ntare House Jijini Bujumbura Burundi kwa ajili ya kuanza ziara ya Kitaifa Nchini humo leo Julai 16,2021.Rais Samia, akipanda Mti wa Muembe mbele ya Jengo la Ikulu ya Ntare House Jijini Bujumbura Burundi kwa ajili ya kuanza ziara ya Kitaifa Nchini humo leo Julai 16,2021. Kushoto ni Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye Ikulu Ntare House Jijini Bujumbura leo Julai 16,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara ya kitaifa ya siku mbili nchini Burundi kuanzia leo Julai 16-17, 2021 kwa mwaliko wa Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye