×

Mastaa Wafurika Kwenye Birthday Ya Kajala -Video


Muigizaji Kajala Masanja usiku wa kuamkia leo Julai 23, 2021 amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuanya hafla ndogo ya na watu wake wa karibu akiwemo mwanae Paula na mastaa mbalimbali akiwemo staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment