Jumapili August 1, 2021 kwenye kipindi Cha Soulfood mwimbaji wa nyimbo za injili Bella Kombo amefunguka juua ya changamoto zinazoendelea kwenye ndoa yake.
Ungana na watangazaji wako mahiri Dkt.Lucas Masungwa, Gladys Irenza(Pstr) na Gospel Dennis (Queen herself), kila jumapili kuanzia saa 12:00-03.00 Asubuhi kupitia Global TV Online na +255 Global Radio Online na INSTAGRAM @globalpublishers* SIKILIZA LIVE 👉 https://ndstream.net/globalradio/