×

Inasikitisha! Mume Aliyemchinja Mkewe Mbele ya Watoto – Video

MAPENZI Yameendelea kuwa chanzo kikubwa cha mauaji kwa siku za hivi karibuni, na hili limejirudia tena jijini Dar es salaam ambapo mume amemchinja mkewe usiku wa sikukuu ya Idd.

 

Global Tv Online tumefika katika nyumba mbayo walikuwa wakiishi wawili hao pamoja na familia yao na kuzungumza na majirani ambapo wameeleza kushangazwa na tukio hilo kwa muuaji hakuwa mtu wa shari bali alikuwa ni mtu mpole na mkimya sana.

 

Leave a Comment