
Baadhi ya wanachama wa CHADEMA waliokusanyika nje ya mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia kesi inayomkabili Mwenyekiti wao Freeman Mbowe wamekamatwa na mabango yao huku Polisi wakiwa wameimarisha ulinzi.

Endelea kufuatilia mitandao yetu tutakujuza kila kinachojiri….

