×

Ridhiwani Ashiriki Mkutano wa Halmashauri ya CCM Bagamoyo

Taswira ya Mkutano huo wa Halmashauri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo, uliofanyika Chalinze uliokuwa una pokea taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM katika kipindi cha Miezi sita ya mwaka.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete (katikati) akifuatilia kilichokuwa kikiendelea katika Mkutano huo.
Mmoja wa Viongzoi wa Chama akizungumza jambo.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete (kulia) akifurahia jambo na mmoja wa washiriki wa Mkutano huo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Uliofanyika Katika Halmashauri ya Chalinze leo Agosto 8, 2021.

 

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete leo Agosti 05, 20201 ameshiriki Mkutano wa Halmashauri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo, uliofanyika Chalinze, Bagamoyo uliokuwa una pokea taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM katika kipindi cha Miezi 6 ya mwaka.#KaziInaendelee #BagamoyoInaendelee

Leave a Comment