×

Orodha Ya Matokeo Ya TFF Kura Za Wajumbe Wa Kanda, Tanga

BAADA ya Wallace Karia kutangazwa kuwa mteule kwa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) na wajumbe kwa aslimia 100 zoezi la uchaguzi kwa wajumbe liliendelea.

Rais amemteua Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais. Ni leo Agosti 7, Tanga.

Haya hapa matokeo kamili ya uchaguzi na kura ambazo wamzipata wagombea kwa kanda namna hii:-

 

Zone 1, Dar

Lameck Nyambaya 40

Athumani Kambi 6

Osea Lugano 35

Zone 2

Kharid Abdallah Mohamed 55

Zakayo Mjema 26

Zone 3

Abuu Sufian Silia 27

James Mhagama 46

Mohamed Mashandu 8

Zone 4

Mohamed Eden 52

Kusuli 20

Hamis Juma Kitila 8

Zone 5

Vedastus Lufano 35

Salum Umande Chama 32

Salum Kulunge 14

Zone 6

Kenneth Pesambili 11

ISSA Mrisho Bukuku 58

Bras Kihondo 11

 

Majina ya wajumbe wanne waliopendekezwa na Rais

1. Athumani Nyamlani, Dar

2. Ahmed Mgoi,Kigoma

3. Hawa Mniga, Dar

4. Said Sud, Tanga.

 

Leave a Comment