×

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

Rais Samia Suluhu Hassan akiwaongoza Mawaziri kusimama kwa dakika moja kwa ajili ya kumkumbuka aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Marehemu Elias John Kwandikwa kabla ya kuanza kwa Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Agosti 07, 2021 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana  Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Leave a Comment