Kibongo bongo staa akimiliki gari la kifahari basi anajiona ameshafanikiwa sana kimaisha lakini je, unajua kuwa kuna mastaa duniani
wanaomiliki ndege binafsi? Achana na chopa, hapa nazungumzia ndege binafsi, private jets! Yaani akitaka kusafiri kwenda sehemu yoyote,
hana haja ya kupanga foleni ‘airport’, anaingia kwenye ndege yake kisha huyoo, anasepa zake. Basi kwa taarifa yako, wafuatao ni mastaa
wanaomiliki ndege zao binafsi…
SOMA BURE..
👇Twende APUNI👇
iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx
Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8
