×

Vodacom Yakabidhi Zawadi kwa Mshindi wa Tusua Mapene

Mshindi promosheni ya Vodacom wa zawadi kubwa ya Tusua Mapene Tsh 179,000,000, Ramadhani Ismail Bwaniki akikabidhiwa zawadi yake kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Bi Esther Alexander Mahawe katika hafla iliyofanyika uwanja wa katubuka mkoani Kigoma jana mchana.

Leave a Comment