×

Rasmi Chama Auzwa Berkane Ya Morocco

Klabu ya Simba imethibitisha kumuuza mchezaji wake, Cloutus Chama kwa miamba ya soka ya Morocco, Berkane RBS.

Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga amethibitisha hilo muda mfupi uliopita akisema rasmi Chama amepigwa bei.

Chama amekutana na Tuisila Kisinda aliyekuwa Yanga na sasa wataitumikia Berkane RBS ya Morocco.

 

Leave a Comment