×

Radi Yajeruhi Wanafunzi 16 Geita – Video

Wanafunzi 16 wa shule ya Sekondari Rwezela iliyopo Kata ya Nzera mkoani Geita, wamenusurika kifo baada ya kujeruhiwa kwa kupigwa na radi wakati wakiwa darasani wanaendelea na masomo yao huku watano kati yao wakiwa na hali mbaya.

 

TAZAMA HABARI KAMILI GLOBAL TV ONLINE

Leave a Comment