
Rais Samia Suluhu amemteua Jaji Mstaafu Mohamed Chande Othman kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi
Pia, amemteua Prof. Elisante Ole Gabriel kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Kabla ya uteuzi huo, alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo
Prof. Elisante pamoja na Mabalozi Wateule watatu wa Italia, Uturuki na Marekani wataapishwa Agosti 21, Ikulu Dar es Salaam
