
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshiriki siku ya pili ya Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika kuanzia tarehe 17 – 18 Agosti, 2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Bingu, Lilongwe nchini Malawi.


