×

Wateja wa Bank of Africa Wapatiwa Mafunzo  ya Kibiashara

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Bw.Wasia Mushi  akifungua warsha ya mafunzo ya kibiashara kwa wateja  wa biashara za kati (SME) wa benki hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa warsha wakipokea vyeti kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo,Bw.Wasia Mushi (Kulia)
Baadhi ya washiriki wa warsha wakipokea vyeti kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo,Bw.Wasia Mushi (Kulia).

Leave a Comment