×

#BreakingNews: Tetemeko la Ardhi Laikumba Geita Leo

Tetemeko la Ardhi limeikumba Geita Alfajiri ya leo, Agosti 31 likiwa na ukubwa wa Richa 4.8 na kudumu kwa sekunde 10. Hakuna taarifa zozote za awali zinazoeleza kama kuna madhara yoyote yaliyotokea.

Leave a Comment