Dunia inakwenda kwa kasi sana, wanasayansi wanaumiza vichwa kila kukicha ili kupambana na hofu kuu ya binadamu, kifo. Ipo wazi kwamba pamoja na ujanja wake wote, binadamu bado hajafanikiwa kupata dawa ya kifo.
Yaani utafanya mambo yako yote, lakini mwisho wa yote, lazima utakufa tu! Wanasayansi wanaumiza vichwa kila kukicha kupambana na kifo na utafiti umewezesha kugundua teknolojia mpya ambayo kama ikifanikiwa, inaweza kuleta mapinduzi makubwa katika maisha ya binadamu….
SOMA ZAIDI BUREE
TWENDE APUNI
-
iOS https://apple.co/38HjiCx
Android http://bit.ly/38Lluc8

TWENDE APUNI
-
iOS https://apple.co/38HjiCx
Android http://bit.ly/38Lluc8