×

Nafasi Za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema , Afisa Biashara

POST AFISA BIASHARA DARAJA II – 1 POST
POST CATEGORY(S) BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES
HR & ADMINISTRATION
MARKETING,MEDIA AND BRAND
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema
APPLICATION TIMELINE: 2021-09-01 2021-09-14
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.    Kuwasiliana na Wizara nyingine ambazo zinafanya biashara, kupata takwimu ambazo zitatumika katika kutathimini mwenendo wa biashara na masuala mengine ya kibiashara;
ii.    Kusambaza taarifa za kibiashara kwa wafanyabiashara;
iii.    Kutathmini mwenendo wa biashara kwa kuangalia hali ya masoko katika nchi mbalimbali ambazo bidhaa zetu zinauzwa;
iv.    Kuandaa grafu na chati ambazo zinaonesha mwenendo wa bidhaa zinazoingizwa nchini na zile ziendazo nje kwa kila nchi ambazo hufanya biashara na Tanzania;
v.    Kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa  mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Biashara waliojiimarisha katika fani ya uchumi, Masoko, au Uendeshaji Biashara kutoka Chuo Kikuu chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS.D

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

Leave a Comment