
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Sofia Mjema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Mjema anachukua nafasi ya Dkt. Philemon Sengati, ambaye uteuzi wake umetenguliwa Kabla ya uteuzi huo, Mjema alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha.
