×

Bei Imeshuka! Mnada Mkubwa wa Bajaji Kutikisa Dar Jumamosi Hii – Video

KAMPUNI ya SEPCO DEBT COLLECTION AND AUCTIONEERING COMPANY LIMITED inawatangazia mnada wa hadhara. Kwa idhini tuliyopewa na kampuni ya SUNBEAM AUTO, tutakuwa na mnada mkubwa Jumamosi hii ya Septemba 11, 2021 kuanzia saa 4 asubuhi tutauza Bajaji.

 

 

Ukaguzi wa Bajaji hizi utafanyika Alhamisi na Ijumaa kuanzia saa 3:00 asubuhi – 10:00 jioni katika ofisi za SunBeam zilizopo Barabara ya Nyerere karibu na SIDO, Dar es Salaam.

Unaambiwa Bajaji hizi zimeshuka bei vibaya mno, muuzaji ameamua kushusha bei ili ziuzwe chap.

Lakini kumbuka kuwa, Bajaji hizi bado ni mpya kabisa kama unavyoziona kwenye picha na video yake hapa chini.

 

MASHARITI YA MNADA
1. Mnunuzi atakayebahatika kununua mali hizo atalazimika kulipa papo hapo asilimia 25 ya bei itakatokuwa imefikiwa, na asilimia 75 nyingine atalipa ndani ya siku saba kuanzia siku ya mnada na akishindwa kulipa mnada utarusidiwa na pesa aliyolipa awali haitarudiswha.
2. Mnunuzi atalazimika kuondosha Bajaji aliyonunua mara baada ya kukamilisha kulipa malipo yote taslimu.
3. Gharama zote za kutoa Bajaji alizonunua ni za mteja mwenyewe.
4. Bajaji itauzwa kama ilivyo na ukiharibu haitarudishwa
5. Kwa yeyote atakayeharibu mnada hatua kali za kisheria zitachukuliwa.
Kwa mawasiliano zaidi, fika katika ofisi zetu zilizopo RITA Tower,ghorofa ya 11 Posta jijini Dar es Salaaam au piga simu namba 0715 683 777 au 0782 548 337.

Unakosaje kumiliki chombo chako kwa mfano?

 

Leave a Comment