
GLOBAL TV imefanya mahojiano na kijana Murashan, ambaye licha ya kuwa na elimu ya darasa la Pili, lakini amefanikiwa kutengeneza gari lake kwa ubunifu mkubwa.
Mwasham amesema alianza utundu wa kutengeneza vitu akiwa mdogo sana, ambapo awali aliwahi kutengeneza bunduki ila wazazi wake wakakamkataza, lakini kutokana na mapenzi aliyonayo kwa magari ndio akaamua kuanza kubuni namna ya kutengeneza gari.