×

Simba Wanasaini Mkataba Na Air Tanzania Muda Huu-video

Klabu ya Simba @simbasctanzania leo Septemba 17, imeingia mkataba wa miaka miwili na Shirika la Ndege Tanzania ATCL, mkataba huo unathamani zaidi ya milioni 400.

Kwa kipindi cha miaka miwili Shirika la Ndege Tanzania (@airtanzania_atcl) litakuwa mshirika wa Simba katika huduma za usafiri wa anga.

 

Leave a Comment