×

Dada wa Adaiwa Kuua Mtoto wa Bosi Wake kwa Kipigo – Video

Global Tv Online imefanya mahojiano kwa kina na wazazi wote wawili wa mtoto ambaye anadaiwa kupigwa hali iliyomfanya kupoteza maisha.

Jeshi la polisi mkoani arusha limethibitisha kumshikilia Dada wa kazi ambaye ana miaka 13 kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto huyo amethibitisha kamanda wa jeshi la Polisi Arusha.

 

Leave a Comment