Mazishi ya Mwili wa Mganga Maarufu wa kutoa tiba asili Machimu Mshono Ndalo almaarufu Ng’wanandalo aliyefariki dunia Septemba 20,2021 yamefanyika nyumbani kwake katika kata ya Mwakata wilayani Kahama mkoani Shinyanga Septemba 22,2021.