×

Rais Samia Awaapisha Viongozi Aliyowateua Ikulu – Video

LEO Jumatatu Septemba 27, 2021, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amemuapisha Balozi Mteule Togolani Idriss Mavura kuwa Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini.

 

Rais pia amemuapisha  Mathew Modest Kilama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma. Uapisho huo umefanyika Ikulu Dodoma.

 

Hafla hii imeudhuriwa na viongozi wa nagzi za juu kitaifa, akiwemo Makamu wa Rais, DK. Philips Mpango pamoja na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

 

Leave a Comment