MFALME wa Bongo Fleva, Alikiba ama mwenyewe anapenda kujiita King Kiba amezindua rasmi albamu yake ambayo ameipa jina la THE ONLY ONE KING. Alikiba ameeleza kuwa albamu hiyo itatoka rasmi Oktoba 7, 2021.