×

Zola D… Mtaalam Aliyewafua Diamiond & Harmonize – Video


MFAHAMU mtaalam wa mazoezi, Zola D amefunguka kuhusu alivyowafundisha mastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Rajabu Abdul ‘Harmonize’ kufanya mazoezi na kutengeneza miili yao. Ameeleza kila mmoja na uwezo wake katika suala zima la mazoezi.

Full story ipo ndani ya YouTube, Tazama hapa.

Leave a Comment