×

Will Smith & Mkewe Wanunua Mjengo wa Bil. 26

STAA wa Filamu nchini Marekani,  Will Smith na mkewe  Jada Smith wamenunua mjengo wa kifahari kwa thamani ya Dola za Marekani milioni 11.3M (sawa na Tsh bilioni 26)

 

Jumba hilo la kifahari lina vyumba sita (6) vya kulala, mabafu sita (6), Swimming Pool, sehemu nne za parking za magari pamoja na maeneo mengine.

 

Pia wawili hawa wanatajwa kuwa na mijengo karibu nane (8) nchini humo, ukiachana na huu  ambao wameununua huko Hidden Hills California.

Leave a Comment